Lirik Terjemahan Namaanisha Lyrics - Lomodo

♪ Namaanisha
Lomodo

π…Ÿ Namaanisha Lyrics By Lomodo 

  • Iyee mmmmh Naahidi nitakupenda mpaka kifo
    Kitutenganishe
    Tuvuke majangwa na mafuriko

    Kwenye baridi
    Wewe ndo wangu jiko
    Acha kuni nichochee
    Unanipa joto

    Eh sema utakacho mie sawa
    Sitabishana
    Waseme utakavyo mie chawa
    Tukiongozana

    We ndo wangu paracetamol
    Watuliza maumivu ya moyo
    Sina mwingine oooh ma yoo

    Na maneno yasiyozidi kimo
    Yakaleta gharika ya moyo
    Wasitukalie vikao

    Namaanisha, ninamaanisha
    Namaanisha, ninamaanisha

    Na nikisema nakupenda
    Basi ujue namaanisha
    Chizi mto kwa midenda
    Kwa verse natiririka

    Ooh baby mi mwenzako
    Nimezama vibaya yaya
    Sijiwezi
    Usinitupe ukamakaya yaya

    Nisipokuona mi roho juu juu
    Nikikuona tu napata nafuu
    Sitaki kuota njia ni wewe tu
    Harufu manukato we ndo karafuu

    Na kama tiba
    We ndo wangu paracetamol
    Watuliza maumivu ya moyo
    Sina mwingine ooh ma yoo

    Na maneno yasiyozidi kimo
    Yakaleta gharika ya moyo
    Wasitukalie vikao

    Namaanisha, ninamaanisha
    Namaanisha, ninamaanisha

Welcome to the article about Namaanisha song lyrics sung by Lomodo artists. This song was published in 2020 and can already be watched and heard on Youtube, joox and Sportify. The following is information about Namaanisha song lyrics If you want to listen and download Namaanisha songs, please visit Original Music Media such as Joox, Sportify, iTunes and other Digital Media. This website only provides Namaanisha Song Lyrics

Iklan Atas Artikel

Iklan Tengah Artikel 1

Iklan Tengah Artikel 2

Iklan Bawah Artikel